Tafakari Ya Neno La Mungu Leo, Tafakari ya leo: Unapolemewa na mizigo ya maisha, unapiga goti au unapiga chupa? Badili mtazamo wako leo, uruhusu Roho Mtakatifu atawale moyo wako. ๐ Jenge imani yako. Kukupatia amani inayopita akili zote. Jophrey Mapunda JIMBO KATOLIKI NJOMBE. Kwa kila mwamini neno la Mungu ni la kipekee na la thamani kubwa. Vitabu hivi vimetolewa kama zawadi, hivyo ni bei rahisi kupata nakala. Anasema: “Kizazi hiki kinataka ishara, lakini hakitapewa ishara. Ametufanya mabalozi na kutupa huduma ya upatanisho ili tuweze kufanikiwa katika mahusiano yetu na kuwasaidia wengine kufanikiwa katika mahusiano yao. Jifunze kumwilisha ujumbe huu leo, kwa mwonekano halisi na ukarimu wa UTANGULIZI: Mpendwa msikilizaji na msomaji, leo Mama Kanisa Mtakatifu anaadhimisha Dominika ya V ya Neno la Mungu kwa waamini wote, kama anayotualika Baba Mtakatifu Francisko katika waraka wake wa kitume wa tarehe 30/09/2019 uitwao Appeluit llis” Kutangazwa rasmi na Kuitenga Dominika ya tatu katika mwaka wa kiliturujia kwa ajili ya Neno la Ninakuomba, umsikilize kwa makini, ili uweze kujichotea utajiri huu wa tafakari ya Neno la Mungu. Chunguza wito wa uongofu, misheni ya wanafunzi wa kwanza, na umuhimu wa kumfuata Yesu leo. ๐ Subscribe na tufuatilie kwa matangazo zaidi! Hii ni sehemu ya tafakari ya Liturujia ya Neno la Mungu, Dominika ya Sita ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa iliyotolewa na Baba Mtakatifu Leo XIV wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, Dominika tarehe 15 Februari 2026, kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Leo ndipo tunahitimisha kipindi cha Noeli kwa Sikukuu ya Ubatizo wa Bwana na tunaanza kipindi cha kawaida cha mwaka wa Kanisa. Makala haya yanachunguza athari za kiroho na kijamii, yakizingatia Afrika, na kutoa mapendekezo halisi ya kusaidia familia, walezi, na jamii. Kwa karne nyingi zilizopita watu wengi wametoa maisha yao katika kuhifadhi kweli ya neno la Mungu kwa ajili yetu ili tupate kusoma. UTANGULIZI: Karibu Mpenzi msikilizaji na msomaji wa tafakari ya Neno la Mungu leo dominika ya sita Mwaka A. Wachungaji wa kawaida ndiyo mashuhuda wa kwanza wa tukio hili kubwa. #YasemavyoMagazeti #RadioMariaTz ๓ฐคฅ 489 ๓ฐคฆ 97 ๓ฐคง 1 Adela Rajabu Mungu awe pamoja nawe siku zote zamaisha yako 11m Kuwa na moyo wa unyenyekevu Kiburi kinazuia kuinuliwa, lakini wanyenyekevu hupewa neema. *TAFAKARI – ALHAMISI JUMA LA 5 LA MWAKA WA 2* Masomo: Somo la Kwanza: 1 Wafalme 11:4–13 Injili: Marko 7:24–30 Ndugu wapendwa katika Kristo, Neno la Mungu la leo linatualika kutafakari juu ya uaminifu wa moyo kwa Mungu na nguvu ya imani ya kweli. TAFAKARI YA JUMATATU KUKIMBILIA KWA YESU Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona Jambo la kwanza Ambalo MUNGU anataka tulifanye ni kuitii Sauti yake. ” n. 19-22 Mk 8: 1-10. Desire Bushiri (CMF) JIMBO KATOLIKI NJOMBE. Chunguza umuhimu wa kitheolojia na kinabii wa muujiza huu, wito wa imani na utume wa Kikristo leo. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana. Je nini Maana ya Utii? Katika kitabu cha MWANZO BIBLIA inasema Neno Utii ni kuitii Sauti yake. JE UNA NJAA YA MUNGU? Karibuni sana wapendwa wa Bwana kwa tafakari ya neno la Bwana asubuhi ya leo. Naye Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi. Wakati wa hadhira ya jumla ya Februari 11, 2026, alisisitiza jukumu muhimu la Mapokeo ya Kitume na Majisterio katika usomaji halisi wa Maandiko Matakatifu, katika muktadha ulioangaziwa na changamoto za ubinafsi wa kidini na usambazaji wa kidijitali. Tunatembea kuelekea ukamilifu kwa kujitahidi daima kuchagua kufanya mazuri. Wito wa kuishi uhusiano halisi na Mungu, ulio wazi kwa wote, leo. Gundua tafakari ya Mtakatifu Cyril wa Alexandria kuhusu uharaka wa kiroho: jinsi ya kutambua na kutumia wakati unaofaa (kairos) kujibu wito wa kimungu kabla haijachelewa. S 34 Likes, TikTok video from Jimbo Katoliki Njombe (@jimbokatolikinjombe): “TAFAKARI YA NENO LA MUNGU//IJUMAA 13/02/2026// Pd. Kuwa na Watu Wazuri Karibu Na Wewe Usiishi peke yako. Jumapili, Februari 15, 2026 Dominika ya 6 ya Mwaka A wa Kanisa YbS 15:16-21; Zab 119:1-2, 4-5, 17-18, 33-34; 1Kor 2:6-10; Mt 5:17-37 KUSHIKA SHERIA! Mungu anatuita sio katika maisha ya maadili tu, lakini katika hali ya kuishi ya juu zaidi. Kwa njia hii yeye atakuwa ni ufunuo wa huruma ya Mungu kwa wengine, atakuwa ni sababu ya furaha kwa mwanadamu ambaye amejeruhiwa na anahangaika katika kuitafuta furaha itokayo juu. Kama wafuasi wa Kristo, tunapaswa kuliishi Neno la Mungu kwa vitendo, kwani lina nguvu ya kubadilisha maisha yetu. Tafakari ya Neno la Mungu, Sherehe za Ubatizo wa Bwana Mpendwa mwana wa Mungu, tuko tena pamoja katika ile habari ya furaha ndiyo kushirikishana mapendo ya Mungu kwa njia ya meza ya Neno lake. > “Neno lako ndilo taa ya miguu yangu. Neno la leo linatoka katika kitabu Kitakatifu kilichoandikwa na nabii Yeremia 17: 5-8, nalo lasema hivi:- 5. (Yohana 1:1-5) -Huwezi kutenda sawasawa na neno la Mungu linavyokutaka kama kulitafakari neno hilo. Nawatakia Dominika na tafakari njema. Neno hili linatufundisha kuwa imani ya Mambo ambayo zamani yalionekana wazi kuwa dhambi leo yanapata majina mapya “uhuru”, “maisha binafsi”, “MUNGU anaona moyoni”, “usihukumu na wewe utahukumiwa. Tukumbuke kuna kusoma na kulisikia neno la Mungu lakini ukilitunza ndani ya moyo wako kuna wakati Roho Mtakatifu atakupatia tafakari ya kiufahamu na ufunuo juu ya hilo neno tofauti na ulivyokuwa unalijua hapo mwanzo. 1 likes, 0 comments - eastafricacmf on February 12, 2026: "*Tafakari Fupi: Ijumaa juma la 5 la Mwaka* Katika Injili hii, Yesu anamponya mtu aliyekuwa kiziwi na mwenye kigugumizi. Tutafakari juu ya neno hilo la Yesu. . Tafakari ya Neno la Mungu Jumapili ya Kwanza ya Kwaresima: Majaribu! Yesu Kristo kama alivyokuwa Yohane Mbatizaji na manabii waliotangulia kabla yake walijitenga na kukaa jangwani, sehemu ya upweke ili kutafakari na kusali. Marko 4:21-25 inafunua jinsi mfano wa taa na mfano wa kipimo unavyobadilisha imani na ushuhuda wetu wa Kikristo. TAFAKARI YA BURE YA KIELETRONIKI YA NENO LA MUNGU Je ungependa kuwa na ufikiaji wa moja kwa moja wa FRESH? Ni tafakari ya kila siku ya kieletroniki ya Neno la Mungu ya Dakika 3 itakayokusaidia kupata undani wa Neno la Mungu na kuwa karibu na Yesu Kristo. Ni masomo ambayo kwa namna ya pekee kabisa yanazungumzia nafasi ya Neno la Mungu katika Mungu wangu,nasadiki maneno yote linayo sadiki na kufundisha kanisa katoliki la Roma kwani ndiwe uliye fumbuliwa hayo,wala hudanganyiki na wala hudanganyi. Toba na Upatanisho – Kuungama dhambi na kurejea Gundua jinsi Yesu, kwa kutulia Kapernaumu, alivyozindua Ufalme wa Mungu kwa kubadilisha giza kuwa nuru. Dominika hii tunaliangazia Neno la Mungu linalotufundisha kwamba sheria ya Mungu si mzigo, si tishio, si kizuizi—bali ni njia ya upendo, njia ya amani, na njia ya haki. Somo la Kwanza (Bin Sira 15:15–20) linatukumbusha kuwa Mungu ametupa uhuru wa kuchagua Baba Mtakatifu Benedikto XVI anaitaka Familia ya Mungu Barani Afrika haina budi kujielekeza zaidi katika amana na utajiri wa Neno la Mungu ili iweze TUMUOMBE MUNGU AFUNGUE MASIKIO NA NDIMI ZETU ILI TULISIFU JINA LAKE TAKATIFU ๏ธ Tafakari ya leo kutoka kwa Padre Telesphory Tanzania Kagengere, Paroko NAZARY NJIKU - MAHENGE Kwa namna ya pekee mpendwa leo unaalikwa kumtakia neno la baraka na matashi mema Padre Nazary Joseph Njiku, Paroko Msaidizi Parokia ya Kristo Mfalme Kwiro, na Mhasibu Msaidizi Jimbo Katoliki Mahenge. Safari ya kiroho inayochanganya historia, theolojia, na desturi ya Kikristo ili kuishi kikamilifu Injili katika maisha yetu ya kila siku. Hukata kabisa mpaka mahali ambapo moyo na roho hukutana, mpaka pale vikutanapo viungo vya mwili na uboho. ” Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema vizuri. Utii kwa sauti ya Mungu Kibali kinakuja kwa wale wanaosikia na kutii mapenzi ya Mungu bila kuchelewa. " Kutafakari ni njia ya kuzingatia Neno la Mungu kwa ndani —kuliweka ndani ya mioyo yetu — ili Roho Mtakatifu aweze kufanya kazi kupitia kwalo ili atuongoze, atufundishe, atutakase na kutubadilisha kutoka ndani. Amina. Mungu huweka watu wa kukuimarisha. ๐ Wafilipi 4:6 – Ombeni kwa kila hali kwa shukrani. --- ๐ค 5. Watu wengi wakitaka Mungu awasaidie katika maisha yao huwa wanaangalia kitu kilichoko mbele yao tu. Mafarisayo waliona matendo mengi ya Mungu lakini bado walitaka uthibitisho wa nje. Kupitia neno la Mungu kila TAFAKARI YA NENO LA MUNGU//JUMAMOSI 14/02/2026// Pd. Kumbe leo pia ni Dominika ya kwanza ya kipindi cha kawaida cha mwaka wa Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya Matawi inawaingiza na kuwazamisha waamini katika tafakari ya mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu, kama utmilifu wa Maandiko Matakatifu. #tunatangazainjili”. TAFAKARI Moyo wa Yesu unahuzunishwa na mioyo inayotafuta ishara bila imani. ๐น 3. 7 likes, 0 comments - godfreyfr on February 14, 2026: "TAFAKARI – JUMAPILI YA 6 MWAKA A Masomo: Bin Sira 15:15–20 | 1 Wakorinto 2:6–10 | Mathayo 5:17–37 Muandaji: Fr. Kristo Yesu amekubali kuteswa na hatimaye kufa Msalabani ili aweze kumkomboa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Ninapenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha ndugu msikilizaji katika tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya 4 ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa. Katika umaskini huo, utukufu wa mbinguni Unapomiminika Neno la Yesu katika maisha, huanza kutoa haki. Ndiyo maana Neno hilo limeendelea kutenda maajabu ulimwenguni vizazi hata vizazi; limekuza imani ya watu, limewafariji, limewaongoza, limewatuliza na limewapa mwelekeo wa maisha na limewaokoa wote walioliweka kama dira na mwongozo wa maisha yao. 6. Linakupa uelewa wa wito wako na kukufanya uwe imara. Evaristo Mligo JIMBO KATOLIKI NJOMBE. ” – Zaburi 119:105 Soma Biblia kila siku, tafakari, na tumia maandiko unapohisi kuchoka. Mwanadamu akiwa tayari kuipokea huduma aliyopewa kama zawadi kutoka kwa Mungu atapata nguvu ya kuisikiliza sauti ya Mungu na kuitekeleza huduma hiyo barabara. PP. Hufanya kazi kama chachu inavyofanya kazi, wakati mwingine polepole, wakati mwingine haraka, lakini kila mara hadi Neno la Mungu litakapombadilisha mtu kabisa. Neno la Mungu ni mwanga wa njia yetu. Neno la Bwana katika somo la kwanza tunakutana na habari za yanayofuata baada ya ufalme wa Israeli kugawanyika mara mbili baada ya kifo cha mfalme Sulemani. Kwa namna ya pekee, huyu mtu anapaswa kufungua masikio yake kusikiliza neno la Mungu, na kutumia ulimi wake kutangaza huruma ya Bwana. Mar 29, 2024 ยท TAFAKARI YA INJILI YA SIKU, ALHAMISI - 15 - 01- 2026: KIPINDI CHA KAWAIDA, MWAKA "A" WA KANISA Lord, I Need You, Worship Music 2026, Nonstop Christian Music Playlist, Top Praise And Worship Songs Neno la Mungu ni hai na lina nguvu; ni kali kuliko upanga wenye makali kuwili. Yesu alitoka katika mipaka ya Tiro, akapita katikati ya Sidoni, akaenda mpaka bahari ya Galilaya, kati ya mipaka ya Dekapoli. ๐น 4. @holyspiritconnect Umejifunza nini Katika hili? Dondosha Maoni yako kupitia @paziatv Kwa Updates za gospel follow @johnpazia na @paziatv casfetatayomi Neno la Mungu ni mwanga wa njia yetu. Mwaliko wa kuacha kuahirisha mambo katika maisha yako ya ndani, kutupa vifungo vyako, na kuvuna neema iliyoiva leo. Uponyaji wa viziwi na bubu na Yesu: gundua jinsi muujiza huu wa kibiblia unavyoashiria uwazi wa kiroho unaohitajika ili kusikiliza na kukaribisha neno la Mungu katika maisha yetu leo. ”. Read More Share categories Zana za kusoma Biblia, Siku kwa Siku tags Neno la Mungu, Neno la Leo, Siku Kwa Siku na Mungu, Siku Kwa . Leo Yesu anawakumbusha si tu Mafarisayo na wale wanafunzi wake wa kwanza bali kila mmoja, ni Neno la Mungu ndio linapaswa kuongoza maisha yetu. Hata hivyo, Neno la Mungu linakidhi kiu yetu ya maana, ukweli kuhusu maisha yetu. Wakati mwingine hata tunasikia maneno ya busara, lakini hayagusi hatima yetu ya mwisho. Mungu anampatia Jeroboam Kutosheleza kiu ya moyo wako. Na inachukua chachu kidogo tu kufanya mabadiliko ya ajabu—huna haja ya kumzidi mtu maarifa ya kidini. ๐ฅ Badilisha maisha yako. #tunatangazainjili TAFAKARI YA INJILI YA SIKU, IJUMAA, 13-02-2026 JUMA LA 5, KIPINDI CHA KAWAIDA MWAKA "A" WA KANISA DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube. ” Kisha anaondoka. Jumamosi, Februari 14, 2026 Juma la 5 la Mwaka wa Kanisa 1Fal 12:26-32;13:33-34 Zab 106:6-7. Kama wafuasi wa Kristo, tunapas Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili 15 ya Mwaka A wa Kanisa: Ushuhuda wa Neno la Mungu: Mifano mbali mbali inayotolewa na Kristo Yesu kwa wanafunzi wake. Kwa kukaribisha nuru ya Injili na kuishiriki kwa ukarimu, kila mwanafunzi anaitwa kuwa nuru duniani. Ndoa ya kiroho ambapo maji yanakuwa divai, ishara ya mabadiliko, upendo, na furaha ya kimungu. ๐ Tafakari Neno. Moyo wa Yesu unatuita kuamini kwa unyenyekevu, kutambua ishara za Mungu katika maisha ya kila siku, na kutafuta mapenzi yake kwa moyo wa unyofu. Maombi na Tafakari ya Neno la Mungu – Kukuza uhusiano na Mungu. 2000 tu. Gundua mafundisho kuhusu ufunuo endelevu wa Ufalme, kusikiliza Neno kwa bidii, na matokeo ya wingi wa kiroho. Lakini Yesu anaugua rohoni, akiona ugumu wa mioyo yao. Maisha ya maombi na Neno Mtu wa madhabahuni hupata upendeleo wa mbinguni. MATENDO MUHIMU KATIKA KWARESMA Kufunga na Kujizuia – Kujinyima chakula na anasa ili kumkaribia Mungu. Yeye ndiye anayeweza kutosheleza hitaji la ndani kabisa la mwanadamu. Anamtoa pembeni, anamgusa masikio na ulimi wake, kisha anatazama juu mbinguni na kusema, *“Efatha,”* yaani, “Funguka. Kwa kila kitabu ni Tsh. Wapendwa wasikilizaji, tunapoadhimisha siku hii ya ubatizo wa Bwana, pengine tunajiuliza pamoja na Yohane Mbatizaji, kwa nini Yesu abatizwe, wakati yeye ni mwana wa Mungu asiwe waa lolote, kwa kweli ndivyo alivyo. k Lakini Neno la Mungu katika 1 Wakorintho 5 ["soma aya yote tafadhali"] linaweka wazi kwamba upendo wa kweli ndani ya kanisa hauwezi kukubali dhambi. ๐น 5. ๐ Mathayo 6:16-18 – Kufunga kwa unyenyekevu, si kwa kujionyesha. Tafuta ahadi moja au fundisho moja la Biblia ulilotazama kwa haraka hapo awali, na liweke moyoni mwako. Gundua urahisi wa Injili: jinsi ukaribu wa Kristo unavyobadilisha imani yetu kupitia ufikiaji usio na vizuizi, uaminifu wa dhati, na zawadi iliyotolewa bure. 142 Likes, TikTok video from Jimbo Katoliki Njombe (@jimbokatolikinjombe): “TAFAKARI YA NENO LA MUNGU//ALHAMIS 05/02/2026// Pd. Papa Leo XIV alithibitisha mamlaka ya Kanisa Katoliki juu ya tafsiri ya Biblia. Siku zote Mungu akikulindia leo au akiitazama leo, basi atakupa maelekezo ya kukusaidia katika leo yako. Ni Neno pekee ambalo ni jipya kila wakati: likitufunulia siri ya Mungu, halina mwisho, haliachi kamwe kutoa utajiri wake. Wasiliana na Neno la Mungu: Maandiko yanasemaje kwamba tunapaswa kuhusianisha? Yohana 13:34-35; 17:21-22; Wakolosai 3:9-10, 12-15 Tambua vikwazo vitano vinavyoathiri uhusiano wetu na kila mmoja? 80 Likes, TikTok video from Jimbo Katoliki Njombe (@jimbokatolikinjombe): “TAFAKARI YA NENO LA MUNGU//JUMATATU 16/02/2026// Pd. Godfrey Augustino Kolowoga, CSS Ndugu wapendwa, Neno la Mungu leo linatufundisha nafasi ya sheria ya Mungu katika maisha ya Mkristo. Somo la Biblia Usikose mafundisho ya kina ya Biblia kwa maisha yako ya kila siku! Kila Ijumaa saa tano asubuhi tunakukaribisha Bethsida Jesus Ministry kwa masomo maalumu ya Biblia yanayoongozwa na Pastor Henry Kiiru. Mnamo Februari 2026, Papa Leo XIV alitoa wito wa maombi kwa ajili ya watoto wenye magonjwa yasiyotibika, akisisitiza utu wa binadamu, mshikamano, na umuhimu wa huduma ya kupunguza maumivu. Leo neno la Bwana katika asubuhi ya Watch short videos about neno la mungu lina nguvu from people around the world. Kila andiko lina ushawishi wa kiroho na linatufundisha mwelekeo wa maisha yetu. Katika hali ya asili sisi sio wakamilifu, lakini Mungu anatuita tutafakari jinsi Gundua siri ya harusi huko Kana, ishara ya kwanza ya Yesu kulingana na Injili ya Yohana, ambapo agano kati ya Mungu na wanadamu linafunuliwa. Injili ya leo inakamilisha ujumbe huu kwa mapana zaidi kwa kuonyesha kwamba kinachotakiwa hapa ni kila mtu kuelewa nafasi yake na kubakia katika hiyo nafasi yake. 0 likes, 0 comments - eastafricacmf on February 15, 2026: "*Tafakari Fupi – Jumatatu: Juma la 6 la Mwaka* Katika Injili hii, Mafarisayo wanamwendea Yesu wakimtaka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni ili wamwamini. Oct 8, 2021 ยท Katika tafakari ya Neno la Mungu, leo ningependa kujielekeza zaidi katika fadhila ya Hekima, ili kuweza kumfahamu, kumpenda, kumtumikia Mungu na hatimaye, kufika kwake Mbinguni. Linatufundisha jinsi ya kuishi kwa haki na kutufuata katika maisha yetu ya kila siku. Yesu alitaka kumuonesha huyu kiziwi jinsi alivyomjali na furaha ya huyu aliyeponywa inapaswa imfanye aweze kutenda mema na kuepuka kufanya mabaya kwa masikio yake na ulimi wake. Linatufundisha jinsi ya kuishi kwa haki, kutufuata katika maisha yetu ya kila siku, na kutuonyesha wapi tuende. Kila siku unapata nafasi ya kumtafakari Mungu kupitia somo la siku husika katika vitabu hivi kwa mwaka mzima. Usitafute faraja kwenye chupa, tafuta ujazo wa Roho Mtakatifu. original sound - Jimbo Katoliki Njombe. Tafakari Neno la Mungu Noeli Misa ya Mchana: Neno wa Mungu Sherehe ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo, Imanueli, Mungu pamoja nasi, Mama Kanisa anatufundisha kwamba, Kristo Yesu amezaliwa mnyenyekevu zizini, katika familia maskini. Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi amwekee mikono. Tuzidi basi kulipokea Neno la Mungu. Leo tunatafakari Masomo ya dominika ya 3 ya Mwaka C wa Kanisa. Karibu kuwa Mwanafamilia ya PRECIOUS BLOOD TV Hii ni Chaneli ya Uinjilishaji wa Neno la Mungu Tafadhali endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha iweze kuta Wimbo huu unakukumbusha kuwa imani ya kweli huonekana kupitia matendo mema, na kwamba Mungu hupendezwa na maisha yanayoakisi upendo wa Kristo kwa wengine ๏ธ ๐ถ Sikiliza, tafakari, na shiriki WENYEJI WA MBINGUNI- MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA, SOMO LA 7, ROBO YA 1 2026 TAFAKARI YA NENO LA MUNGU JUMAMOSI 14/2/2026 NA FR SOSTHENES NDENDYA C. Leo tunaongozwa na mawazo makuu matatu: Unabii, Useja na Mamlaka ya Kristo Yesu! Manabii katika Agano la Kale, walikuwa ni viongozi muhimu sana katika maisha ya watu wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Musa! Kamwe tusijione tu wakubwa mbele ya Mungu na hivyo kutaka kufanya kadiri tunavyopenda na kutaka sisi na si kadiri ya Neno na maagizo yake. Tukio Jilimishe Neno la Mungu Neno la Mungu ndilo chakula cha roho. Leo, tengeneza muda wa pekee wa kutafakari Neno la Mungu. amrva, bfttj, uozh, pk2ggb, ibu1o, lhnkq, ec5mu6, 9pjl, xks7f, nl1z4,